TUMBATU FM

Breaking News

TUYEyahimizwa kuimarisha ushirikiano

 



Katibu lawala wilaya Ndogo Tumbatu khatibu Habibu Ali amewataka viongozi wa jumuiya jumuiya ya elimu kwa vijana (tuye) ya Tubmatu kushirikiana ili kuilinda jumuiya na mitazamo ya watu wenye lengo la kudumaza maendeleo ya jumuiya hiyo

Akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa jumuiya hiyo amesema endapo viongozi watakaposhirikiana watakuwa na sauti moja katika kutekeleza malengo ya kuazishwa kwa jumuiya hiyo.

Amesema ushirikiano utawapa nguvu wanajumuiya katika kutekeleza majukumu yao ya kazi  za kila siku

Aidha amewataka kuwa na moyo wa uzalendo katika kufanikisha malengo ya jamii bila kujali maslah na mafao kwa ajili ya kutekeleza kazi hiyo.

 Na Chumba cha Habaricha Tumbatu FM 

E/D Juma Haji

 

 

No comments