TUMBATU FM

Breaking News

Ndugu Twalibu Nahoda Vuai apewa heshima kubwa ya kuongoza jumuiya ya Elimu Tumbatu TUYE




 

Mkutano mkuu wa jumuiya ya elimu kwa vijana kisiwani Tumbatu TUYE umempitika ndugu twalibu nahoda vuai kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo kwa muda wa miaka mine ijayo

Akitoa matokeo hayo mwenyekiti wa muda wa tume ya uchaguzi Hassan Makame Juma amesema mchakato wa kampeni na zoezi la upigaji kura yameenda kwa kuzingatia misingi ya democrasia ambapo kila mshiriki alikuwa husu kuchagua au kuchaguliwa

Katika matoke hayo karibu ya nafasi zote zilikuwa na wagombea wawili wawili jambo ambalo limelazim kila alieshindwa kuwa msaidizi wa mshindi

Akitoa nasaha kwa viongozi waliobahatika kupata nafasi ya kuwa viongozi mwenyekiti wa bodi ya dadio mw Juma Gora Khamisi  amewataka kujenga viongozi wapya kujenga uaminifu na kuaminiana katika kutekeleza kazi zao ili kumarisha muhimili wa jumuiya

Na Mwandishi wetu -Tmbatu

E/D Juma Haji Juma 

 

No comments