Gigy Money afunguka kuhusu kauli ya Alberto Msando (Video)
Msanii wa muziki na Video vixen, Gigy Money amefunguka mengi baada ya kusikia kwamba Alberto Msando alidai kwamba watanzania wengi wamejifunza jambo kupitia sakata lake na mrembo huyo. Mapema mwaka huu kuna video chafu ilisambaa mitandaoni ikimuonyesha mrembo huyo akishikana shikana na mwanasheria huyo.
No comments