TUMBATU FM

Breaking News

 



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd.Mussa Haji Ali kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Nd.Mussa Haji Ali akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu, katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Nd.Issa Mahfoudh Haji kuwa  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.



Dk.Habiba Hassan Omar akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.


Nd,Mikidadi Mbarouk Mzee akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Naibu  Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.





Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya kuapishwa Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu,walioapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.




Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria  katika hafla ya kuapishwa Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu,walioapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.




No comments