Kasikizini Unguja,Ujezi wa pembezoni mwa baharini chazo cha kupungua kwa kasa
kutokana na ongezeko la
ujenzi wa mahoteli pembezoni mwa bahari visiwani zanziba
imepelekekea viumbe wabaharini wakiwemo kasa kushindwa kuzaliana
kutokana na kukosa maeneo yao ya asili ambayo ni ya bahari kutokana
na ongezeko hilo.
naibu waziri wa kilimo maliasili
, mifugo na uvuvi lulu msham khamis amewataka wananchi sambamba na
wawekezaji kuacha ujenzi pembezoni mwa bahari, sambamba na wananchi kuacha
kuchimba mchanga kwenye vyanzo hivyo ili kuwapa hifadhi kasa kuendelea
kuzaliana zaid.
kauli hiyo ametoa katika
sherehe za kuachia huru samaki aina ya kasa , zilizofanyika katika kijiji cha
nungwi mkoa wa kaskazini unguja.
akisoma risala
mbele ya wananchi ali ibarahimu amesema kuwa licha ya
faida inayopatikana katika utunzajia wa kasa hao , bado wanakabiliwa na
changamoto nyingi ikiwemo kukosa vifaa vya utowaji uchafu kutokana
na tope lilizingira bwaawa hilo.
katika sherehe hizo jumla
ya kasa 86 wamerejeshwa baharini , mradi ulionza toka mwaka 1993 unaosimamiwa
na mradi wa mnarani akwalium uliopo nungwi mkoa wa
kaskazini unguja.
No comments