Simba wapewa kazi na serekali
KLABU ya Simba imeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno VISIT TANZANIA kwenye jezi ambazo zitatumika katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes imetinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya FC Platinum kwa mabao 4-0, Uwanja wa Mkapa.
Makubaliano hayo ambayo yamefanyika leo Februari 5, makao makuu ya nchi Dodoma.
No comments