Kwa mara nyingine China yamchagua Xi Jinping kuwa rais
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7s2fbl5AjzoA9tzoxtL3f0o4p1QWADO6Os6YmFnm6J6Z98Y728vIprrFFarI7DGZEcP4Xey-HEmZObhp0DM6HCOjfN6SyBoD7BPP9fKlmDvo77U3F1aNZSm4IPa_fosMy3gpR9nrPO_po/s640/c57db9a7dca9d4f4ea9f010654c4b763.jpg)
Bunge la China kwa mara nyingine limemchagua Xi Jinping kuwa rais wa muhula wa pili.
Xi Jinping ameshinda kwa kura 2970 na kuwa mwenyekiti wa tume ya jeshi.
Wang Qishan amechaguliwa kuwa makamu wa rais.
Wiki iliyopita China ilipitisha sheria ya kuondoa kikomo kwa rais na makamu wake.
Katiba inawaruhusu viongozi hao wawili kulitumikia taifa bila kikomo.
Hatua hiyo imemfanya rais wa sasa wa China Jin Jinping kuwa madarakani baada ya mwaka wa 2023, wakati - chini ya sheria za zamani - muda wake ulikuwa umekamilika.
No comments