Jeshi la Israel latoa msaada kwa walowezi kushambulia majumba ya wapalestina
Kwa mujibu wa mashahidi walioshuhudia jambo hilo, kikundi cha walowezi wa kiyahudi kulishambulia kwa mawe nyumba za wapalestina katika kitongoji cha Burina wakilindiwa usalama na wanajeshi wa Israel.
Tukio hilo limetokea Ukingo wa Magharibi.
Jambo hilo liilepelekea ghasia baina ya wapalestina na walowezi hao wa kiyahudi ambapo jeshi la Israel lililazimika kutumia silaha za moto na kufyatua risase na mabomu ya kusababisha machozi.
Mara kwa mara wapelestina wanaoishi katika hilo hushambuliwa na walowezi wa kiyahudi kutoka Yetshar.
No comments