TUMBATU FM

Breaking News

Sanamu la Lionel Messi lavunjwa vunjwa tena



Sanamu la mchezaji na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina na klabu ya Barcelona, Leonel Messi lililojengwa nchini Argentina katika mji wa Buones Aires, limeshambuliwa na kuharibiwa na watu wasiyo julikana.
Sanamu la mchezaji huyo mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or limekutwa limeharibiwa kwa kuvunjwa huku likisalia kiatu tu katika eneo hilo.
Hii ni mara ya pili kushambuliwa kwa sanamu hilo lililojengwa katika eneo ambalo yapo mengine ya wanamichezo mbalimbali kama wa NBA na bingwa wa Olympic Manu Ginobili na legendari wa Hockey, Luciana, mwanzoni mwa mwaka huu lilifanyiwa marekebisho kufuatia kuaharibiwa.

No comments