Mahakama yakwama utetezi wa kesi ya Scorpion
Kesi inayomkabili Salum Njwete(Scorpion) kwa kosa la kunyanga’nya kwa kutumia silaha imeshindwa kuendelea baada ya wakili wake, kushindwa kufika Mahakamani.
Kukosekana kwa wakili huyo utetezi wa kesi ya Scorpion umesogezwa mbele. Hivyo kesi hiyo imehairishwa mpaka Disemba 12 mwaka huu. Kesi inasikizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala .
Salum Njwete anashtakiwa kwa kosa la kunyanga’ nya kwa kutumia silaha na kujeruhi .
No comments